Waraka wa Sala wa Mwezi Novemba 2026
Katika mwezi huu wa Kumi na Moja (Novemba), Baba Mtakatifu Leo XIV anatusihi tusali pamoja naye na Jumuiya yote ya Mtandao wa Sala Ulimwenguni kuombea matumizi mazuri ya mali. Kutafuta na kumiliki mali kusituangushie kw...
