
Ziara ya Cristóbal Fones, SJ, Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mtandao wa Sala wa Baba Mtakatifu Ulimwenguni
Katika Picha: Loyola House, Nairobi mbele ya makao makuu ya Shirika la Wajezuiti Afrika Mashariki
Kuanzia kulia ni Pd. Jonas Keplimo, Mkurugenzi wa Utume Kenya; Pd. Cristóbal Fones, SJ., Mkurugenzi wa Kimataifa wa Utume wa Sala; Pd Josephat Leander Kabutta SJ., Mkurugenzi wa Utume Tanzania na Mratibu wa Utume Afrika Mashariki; Pd. Valter João Cassamano SJ,. Mkurugenzi wa Mtandao wa Sala Angola na Mratibu wa Utume Africa; Pd Grant Tungay SJ., Mkurugenzi wa Utume Afrika Kusini.
